kitengo cha nyuklia cha Iran (AEOI) kimetangaza kutengeneza vituo kumi na sita vya nyuklia katika siku zijazo. hili linaendelea wakati Marekani na waitifaki wake wanaendelea kuishinikiza Jamhuri ya kiislamu ya Iran iachane na mpango wake wa nyukilia wenye malengo ya amani ambao unafanya kazi zake chini ya wasimamizi wa umoja wa mataifa.
22 Februari 2013 - 20:30
Msimbo wa Habari: 393716
Kitengo kinachoshughulikia nishati za nyuklia cha Jamhuri ya kiislam ya Iran kimetangaza azma yake ya kuendeleza teknolojia hii adhimu.